FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums-312072181.jpeg
 
Azam watatangulia kupata goli, fei atakata viuno kwa furaha......kitakachofatia sasa Yanga itaibuka na kufunga goli moja atachukua azam moja watachukua simba.
Yanga haichezagi na timu moja

kila laheri chama la ushindi 💚💛💚💛
Nawaombea kwa Mungu mtoke sare.
Sio Suluhu!!
Yaani 2-2.
1-1
Au sare yoyote.
Sitaki Azam ashinde, Sitaki Uto mshinde
 
Kila la heri timu pendwa Tanzania, Chama la wananchi
 
Tunacheza na wavunja kuni wanao tukamia kila siku, hapa tunacheza na timu mbili.
 
Back
Top Bottom