FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Halafu malengo ni kuchukua CAF champions league
 
Uto wafunge na Lambalamba wafunge.
all the Best
Kwahio mnategemea azam atashinda mimi bora niangalie hata singida FG kuliko mechi za yanga kwakua unajua tu wameshinda kabla hata mechi haijaanza wao ndio hua waamuzi wanakosea na wao ndio waamuzi huwapa point no surprise hapa
 
Safi sana hii rafu ilikuwa ya makusidi
 
Safi sana hii rafu ilikuwa ya makusidi
 
Ni makosa sawa lakini sio red card ile!
Alizuia goli

Ni sawa na mtu ambaye akaudaka mpira kwa makusudi kwenye shuti ambalo lilikuwa linaenda kufunga goli.

Mpe goodbye na good riddance Baka
 
Back
Top Bottom