Malaika wa Waha
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 319
- 885
Safi sana Wafungeni hao vyura waliokosa tumaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alizuia goliNi makosa sawa lakini sio red card ile!
Haya watashindaKwahio mnategemea azam atashinda mimi bora niangalie hata singida FG kuliko mechi za yanga kwakua unajua tu wameshinda kabla hata mechi haijaanza wao ndio hua waamuzi wanakosea na wao ndio waamuzi huwapa point no surprise hapa
sahihi kabisa, kuna watu hapo walipewa yellow kwa tukio kama hilo na bado wanalalamika hadi leoUmeme kwa Baka
Bora angeacha wafungwe kuliko red cardAlizuia goli
Ni sawa na mtu ambaye akaudaka mpira kwa makusudi kwenye shuti ambalo lilikuwa linaenda kufunga goli.
Mpe goodbye na good riddance Baka
ComNi makosa sawa lakini sio red card ile!
Yeah hapo lazima abalance ujinga kumfurahisha Jiesiemu.Azam nao wajiandae kwa red card. Arajiga amelazimika tu kutoa kinyonge
Wanajijua ila wamekaa kimya ila uzuri hatukulalamika.sahihi kabisa, kuna watu hapo walipewa yellow kwa tukio kama hilo na bado wanalalamika hadi leo