FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Kaka hujaona hata marudio ya move na mtangazi akaongea?

Okay vipi ile ya Dube na nyie nyie.
Hakuwa mchezaji wa mwisho sipingi ila baka angemuacha alipokuwepo boka asingeweza kumfikia hivyo nadhani refa akatafsiri kuwa kazuia mchezaji aliyekuwa kabaki na kipa.
 
Friends of Azam Fc tunabubujikwa na machozi mida hii
IMG_4165.jpeg
 
Hakuwa mchezaji wa mwisho sipingi ila baka angemuacha alipokuwepo boka asingeweza kumfikia hivyo nadhani refa akatafsiri kuwa kazuia mchezaji aliyekuwa kabaki na kipa.
Daah haya endelea kushindana na kamera.....?

Ila nimekuuliza maana Dube alichezewa kama hivi, kesho mkaenda kulalamika mmeonewa.
 
Back
Top Bottom