FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Yanga wameingia kwenye mfumo, kipindi cha kwanza wakubali wawe defensive zaidi wajipange upya kipindi cha pili
 
Yanga 0-1 Azam
FB_IMG_1728395696179.jpg
 
Kama Yanga ingekuwa inafanyiwa vile Simba huwa wanafanyiwa na Marefa ingekuwa miongoni mwa timu za mkiani...!
 
Mkuu, sijakataa kuwa hakuwa mchezaji wa mwisho. Boka alikuwepo ila alikuwa mbali kuweza kumfikia.
Mchezaji wa mwisho wana angalia line.........
Ukichora line hakuwa wa mwisho.

Ila swali langu la Dube unaliruka.
 
Back
Top Bottom