joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mchezaji wa mwisho wana angalia line.........Mkuu, sijakataa kuwa hakuwa mchezaji wa mwisho. Boka alikuwepo ila alikuwa mbali kuweza kumfikia.
Ukichora line hakuwa wa mwisho.
Ila swali langu la Dube unaliruka.