Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Fei toto anakaba wenzie atoke tu. Asije wachomesha kwa kula umeme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Kayoko wanamzungumzia wakina nani?Kayoko tena?
Sema Azam hawaaminiki, hapa weshakoswa koswa na max na refa anaweza kuja kubalance.Haww kenge ilikua ni swala la mda tu , ngoja tuone🤣
Baada ya azam kukabidhi uwanja kwa wahusika wa mechiTaarifa zinasema nani mhusika?Na ni nini malengo ya kufanya hivyo?
Atafunga kwenye Pre season wakicheza na Vipers tuweni wapole mashabikiToa Dube weka Baleke. Kihasibu Yanga wamechoma pesa kwa Dube, Tangu ligi ianze hana goli wala assist
Sema Azam hawaaminiki, hapa weshakoswa koswa na max na refa anaweza kuja kubalance.Haww kenge ilikua ni swala la mda tu , ngoja tuone🤣
Hahahaha! Kweli aisee, waliwekeza nguvu kubwa sana mechi ya jana😂😂😂Mashujaa
Leo analiwa mtu kichwa mkuu kunywa pombe yako relax 😊Sema Azam hawaaminiki, hapa weshakoswa koswa na max na refa anaweza kuja kubalance.
Jadda wangu umepotea nimekumis mno🤔Azam wasihangaike tena kutafuta goli, kilichobaki wapaki basi washikilie bomba tu, wakisema wakomae wafunguke tu basi tena
Ndio timu zinazodhaminiwa na gsm zinajulikana na azam siyo moja wapoUkitaka kuamini wale jamaa Aden Rage lile jina aliwapatia hutasikia kelele za GSM na marefa leo.