FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Mkuu, mechi ni Yanga vs Azam.
Tunakumbushana tu,kuna wenzenu kila siku wanafungua uzi.Nakukumbusha tena na Coastal refa anamaliza mpira kwenye movie ambayo ingewezekana kuwapa faida Coastal ya goal,jana refa kaongeza dk sita,ila mkapata goli dk ya sita na sekunde 20.

Sasa pata picha jana refa angemaliza mpora wakati nyie mkienda kupiga kona,leo angekuwa vinywani mwenu, maana mpaka baadhi ya mashabiki wenu Wazee waliomba wahame ligi, huku Mangungu akasema ameya chukua maoni yao.

Jigunzeni kuwa watu wa mpira marefa nao ni binadamu, Arajiga ni refa mzuri ila kuteleza kupo,ila nyie msimu huu haulielewi hili nyie na viongozi wenu.
 
😂😂😂🤣🤣
Mdaka Mishale Kadakwa Yeye..
20241102_185042.jpg
 
Mchezaji wa mwisho wana angalia line.........
Ukichora line hakuwa wa mwisho.

Ila swali langu la Dube unaliruka.
Hiyo foul hawaangalii mstari kama offside inavyoangaliwa, kwa hiyo usijisumbue kuchora mstari. Hiyo foul kwa lugha ya soka inaitwa Professional Foul Last Man, kinachoangaliwa ni uwezekano wa beki mwingine kuja kuokoa baada ya beki mcheza faulo kupitwa. Kama kulikuwa na uwezekano wa Boka kuja kuokoa, isingekuwa red card, ila kama yuko mbali na asingeweza kuja kuokoa, basi inakuwa red card.
 
Safi sana mkuu , usisahau nyama choma , huku ukishuhudia uto wakipakatwa🤣🤣
Hahaha
Tunakumbushana tu,kuna wenzenu kila siku wanafungua uzi.Nakukumbusha tena na Coastal refa anamaliza mpira kwenye movie ambayo ingewezekana kuwapa faida Coastal ya goal,jana refa kaongeza dk sita,ila mkapata goli dk ya sita na sekunde 20.

Sasa pata picha jana refa angemaliza mpora wakati nyie mkienda kupiga kona,leo angekuwa vinywani mwenu, maana mpaka baadhi ya mashabiki wenu Wazee waliomba wahame ligi, huku Mangungu akasema ameya chukua maoni yao.

Jigunzeni kuwa watu wa mpira marefa nao ni binadamu, Arajiga ni refa mzuri ila kuteleza kupo,ila nyie msimu huu haulielewi hili nyie na viongozi wenu.
Mkuu, embu shusha pumzi. Kwani ndo mara ya kwanza kupewa kadi nyekundu?
 
Hiyo foul hawaangalii mstari kama offside inavyoangaliwa, kwa hiyo usijisumbue kuchora mstari. Hiyo foul kwa lugha ya soka inaitwa Professional Foul Last Man, kinachoangaliwa ni uwezekano wa beki mwingine kuja kuokoa baada ya beki mcheza faulo kupitwa. Kama kulikuwa na uwezekano wa Boka kuja kuokoa, isingekuwa red card, ila kama yuko mbali na asingeweza kuja kuokoa, basi inakuwa red card.
Tena ww umekuja mwenyewe, malamiko FC ile ya Dube siku ile ya Derby ilikiwa inaitwaje au sio "Professional Foul Last Man".?Halafu makalamika nyie.

Last Man unao angaliwa ni mstari na ndio maana hata James Samweli akasema sio kadi nyekundu,baada ya picha za marejeo.
 
Azam wawe makini, refa anaweza akawapiga red kusawazisha.
 
Back
Top Bottom