FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Tafuteni Forward, mpaka muda huu Yanga hawana Forward inayojielewa.!

Mzize mtu wa Papatu Papatu....
Uzuri hata hasipo funga anaweza kucreate mtu afunge bila kusahau kusaidia kukaba, kwani Yanga viungo wetu wote wana uwezo wa kufunga.
Tafuteni Forward, mpaka muda huu Yanga hawana Forward inayojielewa.!

Mzize mtu wa Papatu Papatu....
 
...,jana refa kaongeza dk sita,ila mkapata goli dk ya sita na sekunde 20.
Kwenye kibao huwa zinaandikwa dakika tu bila sekunde, ila kwenye kumbukumbu huwa kuna dakika na sekunde kadhaa. Jana muda wa nyongeza ulikuwa dakika sita na sekunde 40, Simba wakapata goli dakika sita na sekunde 20. By the way Mashujaa nao walikuwa na nafasi ya kupata goli katika dakika za nyongeza, na lingekuwa halali
 
Newcastle vs arsenal
1-0 full time
Bournemouth vs man city
1-0 half time
Liverpool.vs brighton
0-1 half time
Yanga vs azam
0-1 half time
Wana Red wangapi?
 
Kwenye kibao huwa zinaandikwa dakika tu bila sekunde, ila kwenye kumbukumbu huwa kuna dakika na sekunde kadhaa. Jana muda wa nyongeza ulikuwa dakika sita na sekunde 40, Simba wakapata goli dakika sita na sekunde 20. By the way Mashujaa nao walikuwa na nafasi ya kupata goli katika dakika za nyongeza, na lingekuwa halali
Siku hizi wanaonesha na sekunde kumbe? Okay, ila siku zote huwezi kusikia malalamiko kutoka kwa mnufaika. Ila jana refa angemaliza mpira dk ile mnayoenda kupiga kona,leo hapa kungekuwa na malalamiko kwa GSM.
 
Back
Top Bottom