joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Tena ww umekuja mwenyewe, malamiko FC ile ya Dube siku ile ya Derby ilikiwa inaitwaje au sio "Professional Foul Last Man".?Halafu makalamika nyie.Hiyo foul hawaangalii mstari kama offside inavyoangaliwa, kwa hiyo usijisumbue kuchora mstari. Hiyo foul kwa lugha ya soka inaitwa Professional Foul Last Man, kinachoangaliwa ni uwezekano wa beki mwingine kuja kuokoa baada ya beki mcheza faulo kupitwa. Kama kulikuwa na uwezekano wa Boka kuja kuokoa, isingekuwa red card, ila kama yuko mbali na asingeweza kuja kuokoa, basi inakuwa red card.
Last Man unao angaliwa ni mstari na ndio maana hata James Samweli akasema sio kadi nyekundu,baada ya picha za marejeo.
Hiyo foul hawaangalii mstari kama offside inavyoangaliwa, kwa hiyo usijisumbue kuchora mstari. Hiyo foul kwa lugha ya soka inaitwa Professional Foul Last Man, kinachoangaliwa ni uwezekano wa beki mwingine kuja kuokoa baada ya beki mcheza faulo kupitwa. Kama kulikuwa na uwezekano wa Boka kuja kuokoa, isingekuwa red card, ila kama yuko mbali na asingeweza kuja kuokoa, basi inakuwa red card.