FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Hawa Azam wana utoto ule ule uliowafanya wapoteze kwenye NGAO

Wakitangulia wanakuwa na drama nyingi sana za kujiamini kupita kiasi na kufanya kupoteza umakini.

Azizi Ki almanusra awafunge kwa utoto wao
 
Azizi Ki huyu jamaa achezi kama tu mwajiriwa ila ni mtu ambaye hata usoni ukimuangalia anaipenda mno Yanga.
 
Back
Top Bottom