FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Azam FC Kwa namna wanavyocheza, timu ya Yanga isingekuwa pungufu wangefungwa nyingi

Bado sijaelewa hasa Timu ya Azam ina shida gani, they have everything in place 🙌

Dakika 70 Azam 1 Yanga 0
Kabisa

Azam wanacheza kitoto na Gongowazi wakikazana wanaweza kurudisha bao lao
 
Azam wanafiki ndio maana hawafanikiwi. Walitaka kuwapa Yanga goli la Bure. Sema Aziz Kii akapiga vibaya mpira. Very stupid team.
 
Azam anazingua sana hii mechi ilifaa aondoke na Point tatu ila kwa ujinga wake atapata Draw hapa nyie mtaniambia.
 
Azam hawaeleweli wanacheza kwenye malengo gani

Kushambulia ni zero, ku defense nako ni zero

Halafu ukicheki eti wao ndio wametimia dhidi ya walio pungufu
 
Back
Top Bottom