Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Leo ni siku ya mavuno kwa muhindi π€£Leo SIKU MBAYA SANA KWA WANAOBETI π€£π€£π€£ππ
MAN CITY KASHATANDIKWA Bao la 2
View attachment 3141642
Sijui ulifikiria nini hadi kucomment hiki kitukowazee wasupu na chapati mbili

Katka zile saba kabaki refa kumalizaKatika zile 7 zimebaki sekunde 10

ameweka mzani sawa na wa jana ili kelele zipungueSisi Azam tunasema Midakika Yote Saba Ya nini sasa.?
kayoko alishindwa toa red card mtu wa mwisho alipo fanya madhambi