FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Dakika ya 105 bado game on mpaka Yanga arudishe
 
Yanga mashabiki
Kocha
Wachezaji
Wote ni short tempered.
Kweli hawa jamaa ni wachanga. Hawaamini kama kuna kufungwa.
 
Yanga mashabiki
Kocha
Wachezaji
Wote ni short tempered.
Kweli hawa jamaa ni wachanga. Hawaamini kama kuna kufungwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
FT. Kama ni bikira Vyura wametolewa bikra kilevi mno.
 
Hivi Simba tulishindwaje kuwafunga hawa vyura wa jangwani?

Asanteni watoto wa Bakhresa mmewabikiri uto

Kinachofuata hapo ni kupigwa tu mabao mechi zijazo
 
⚽️ Young Africans SC🆚Azam FC
📆 02.11.2024
🏟 Azam Complex
🕖 12:00 Jioni
View attachment 3141026

Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC
View attachment 3141586
Mpira umeanza
Dakika ya 3
Yanga SC wanashambulia kwa kasi

Dakika ya 5
Dube anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 14
Max anafanyiwa madhambi

Dakika ya 17
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 21
Baka kapewa nyekundu

Dakika ya 30
Yng 0-0 Azm

Dakika ya 31
Azam wanapata goli

Dakika ya 42
Max anakosa goli la wazi

Dakika ya 45+2
HT

Dakika ya 52
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 58
Yanga wanafanya mashambulizi

Dakika 71
Anatoka Aziz k anaingia pacome


Dakika ya 87
Feisal kafanyiwa madhambi

Dakika ya 90+7
FT
Yanga wamebikiriwa 😅😂😂😅😅😂😂😳😳😳
 
Za Nyongeza zilikuwa 7 ila Mpira umechezwa dakika 10 na sekunde kadhaa .

Jee Leo utopwilo mnasemaje??
 
Back
Top Bottom