Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wamebikiriwa 😅😂😂😅😅😂😂😳😳😳⚽️ Young Africans SC🆚Azam FC
📆 02.11.2024
🏟 Azam Complex
🕖 12:00 Jioni
View attachment 3141026
Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC
View attachment 3141586
Mpira umeanza
Dakika ya 3
Yanga SC wanashambulia kwa kasi
Dakika ya 5
Dube anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 14
Max anafanyiwa madhambi
Dakika ya 17
Aziz k anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 21
Baka kapewa nyekundu
Dakika ya 30
Yng 0-0 Azm
Dakika ya 31
Azam wanapata goli
Dakika ya 42
Max anakosa goli la wazi
Dakika ya 45+2
HT
Dakika ya 52
Aziz k anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 58
Yanga wanafanya mashambulizi
Dakika 71
Anatoka Aziz k anaingia pacome
Dakika ya 87
Feisal kafanyiwa madhambi
Dakika ya 90+7
FT
Leo ni siku ya mavuno kwa muhindi 🤣
Jirani yangu hapa Msata Kilingeni kanuna mishavu imevimba kama paka shume😂Yanga mashabiki
Kocha
Wachezaji
Wote ni short tempered.
Kweli hawa jamaa ni wachanga. Hawaamini kama kuna kufungwa.