joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
mh! kama hatuna usingizi..?Khaaa lalenii
Mbona Kama malalamiko mmeanza mapema aisee.Azam watatangulia kupata goli, fei atakata viuno kwa furaha......kitakachofatia sasa Yanga itaibuka na kufunga goli moja atachukua azam moja watachukua simba.
Yanga haichezagi na timu moja
kila laheri chama la ushindi ππππ
Na wewe utakuja na Press yako hapa JF ukiwalalamikia GSM.PRESS YA LEO BAADA YA MECHI, GAMONDI UTASIKIA TEAM YANGU ILIKUWA NA UCHOVU MWINGI WA MECHI MFULULIZO....
Endelea kuotaGoooooaaaaaaalllll, prince Dubee