Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Uto sijui mkoje... Yanga haijawahi kucheza na timu mchezaji wake katolewa kwa kadi nyekundu?NDio unaifungaje bila red card??
Kadi nyekundu ni sehemu ya.mchezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uto sijui mkoje... Yanga haijawahi kucheza na timu mchezaji wake katolewa kwa kadi nyekundu?NDio unaifungaje bila red card??
Kajificha Huyo.leo huwezi kumuona na Watu wakae naye karibu asije akajinyongaEvelyn Salt toka huko bafuni usicheke sana utapaliwa.
Tatizo Kayoko. Muoga kufanya maamuzi.Hivi Simba tulishindwaje kuwafunga hawa vyura wa jangwani?
Asanteni watoto wa Bakhresa mmewabikiri uto
Kinachofuata hapo ni kupigwa tu mabao mechi zijazo
Jibu swali mkuu " bila red card ???Uto sijui mkoje... Yanga haijawahi kucheza na timu mchezaji wake katolewa kwa kadi nyekundu?
Kadi nyekundu ni sehemu ya.mchezo.