FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

NDio unaifungaje bila red card??
Hivi kumbe timu yenye red card kufungwa ni kanuni eh, mbona kuna timu zinashinda au zinasare zikiwa na red card, na azam ilivyokuwa inacheza hovyo leo mkashindwa hata kutumia hiyo nafasi
 
Sawa ila bila red card sidhani kama yangezungumzwa haya.. anyway maisha yasonge
 
Nimekuwa sensitive sana, hapa duniani kuna timu tatu ninazishabikia. 1. Arsenal, 2. Yanga African na tatu Orlando palate. Timu itakayoanza kucheza weekend hiyo na ikafungwa, basi maranyingi sana wikiendi hiyo timu zangu zote zinakuwa na matokeo mabaya.

Sasa leo nilivyoona Arsenal imefungwa, nikawa na asilimia kubwa na yanga itafungwa, hii ni wikiendi yangu mbaya sana
 
Kikubwa Diara katoboka leo...yani protector imachanikaaa...hahahahah😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣
 
Leo tumepigwa na ndo game ilivo,hatukua kwenye ubora,wachezaji wanaonesha kukosa balance, wanapoteza mipira kizembe, timu inaonekana ina uchovu..fitness imepungua Leo. Hongera Azam kwa kuvunja mwiko kwa yanga.
 
Bikira za ukubwani damu huwa si nyingi ila mate ndo mengi mno yanatemwa.
 
Simba huwa mnapitia wakati mgumu Sana poleni aisee, yani hapa sina Raha kabisa na haya matokeo sasa nyie Miaka mitatu mnaishi vipi? Poleni tena
 
Nimekuwa sensitive sana, hapa duniani kuna timu tatu ninazishabikia. 1. Arsenal, 2. Yanga African na tatu Orlando palate. Timu itakayoanza kucheza weekend hiyo na ikafungwa, basi maranyingi sana wikiendi hiyo timu zangu zote zinakuwa na matokeo mabaya.

Sasa leo nilivyoona Arsenal imefungwa, nikawa na asilimia kubwa na yanga itafungwa, hii ni wikiendi yangu mbaya sana
Wengine Man city
Haya huko Kaizer chief nako
 
Back
Top Bottom