Malaika wa Waha
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 319
- 885
Yanga amepigwa Paipu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We huogopi....😂😂😂Eti Yanga hii unaifungaje ee, unaifungaje eee..! 😁😁
We huogopi....😂😂😂Eti Yanga hii unaifungaje ee, unaifungaje eee..! 😁😁
😭😭😭😭😭😭😭 Wameniibia na kiswaswadu changu hapaPole jamani mtani wetu mzuri...
Jipe moyo kimoja kinauma sana
Hivi kumbe timu yenye red card kufungwa ni kanuni eh, mbona kuna timu zinashinda au zinasare zikiwa na red card, na azam ilivyokuwa inacheza hovyo leo mkashindwa hata kutumia hiyo nafasiNDio unaifungaje bila red card??
Mods wanataka kupunguza makali watakuwa mashabimi wa uto si bure 🤣
Sawa ila bila red card sidhani kama yangezungumzwa haya.. anyway maisha yasongeHivi kumbe timu yenye red card kufungwa ni kanuni eh, mbona kuna timu zinashinda au zinasare zikiwa na red card, na azam ilivyokuwa inacheza hovyo leo mkashindwa hata kutumia hiyo nafasi
Naunga mkono hoja 😃😀Bado YANGA ndio Bingwa....hizi ni Changamoto ndogondogo tu...ila Baba ni Baba
Piga mafoto sisi tulivyojisikia....😃😃😃Sijui narudi vipi kigamboni Leo 😃😀
The show's overHongereni Azam
Wengine Man cityNimekuwa sensitive sana, hapa duniani kuna timu tatu ninazishabikia. 1. Arsenal, 2. Yanga African na tatu Orlando palate. Timu itakayoanza kucheza weekend hiyo na ikafungwa, basi maranyingi sana wikiendi hiyo timu zangu zote zinakuwa na matokeo mabaya.
Sasa leo nilivyoona Arsenal imefungwa, nikawa na asilimia kubwa na yanga itafungwa, hii ni wikiendi yangu mbaya sana