FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Piga mafoto sisi tulivyojisikia....πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒ Kuna dogo nilimbeba kuja nae uwanjani analia hapa kama mtoto yaani πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Unakufa na tai shingoni .....
Hapana, kufa yanga haiwezi kufa....ndio maana tunaenda kuchukua Ubingwa kama kawaida...hizi ni vichangamoto vidogo vinavyoletwa na watoto katika soka...Bingwa ni mmoja tu

YANGA BINGWA
 
😭😭😭😭😭😭😭 Wameniibia na kiswaswadu changu hapa
Hao ndio gongowazi.Ukiweka simu ovyo imekwenda.Hii inaitwa double jeopardy kwa lugha ya sheria.Ipi imeuma zaidi kuibiwa simu au kupigwa kimoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…