FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Hatimaye hatimaeeeeeeeee.....usingizi mnono leo , Maasha Allah

Poleni watani...leo muonje ladha ya kufungwa
 
Ili Yanga ipoteze mechi kwanza wawe pungufu na mpinzani awe ana paki basi uku akijiangusha muda wote wa mchezo Sasa kwanini tusiseme Yanga Bingwa.
Mpaka Yanga kuja Tena kudondosha Tena point ni mpaka mwaka mwingine mwezi kama huu.
Na hizi watazilipa makolokocho
 
Maneno ya kujifariji hayo
 
Hakuna cha Mungu wala nini , ipo wazi kama ya mbuzi kwamba mmekandwa😅😅😅
Sawa kaka ndio mpira sijakataa kuna kufunga,kufungwa ama kusare.
Hata Arsenal amefungwa na timu mbovu new castle kwa kumuotea kigoli kimoja.
Ila hao Azam si tutarudiana nao!?
Ndio nitakwambia kwanini nilisema leo wameshinda kwa 'Mungu kapenda'.
 
Ili Yanga ipoteze mechi kwanza wawe pungufu na mpinzani awe ana paki basi uku akijiangusha muda wote wa mchezo Sasa kwanini tusiseme Yanga Bingwa.
Mpaka Yanga kuja Tena kudondosha Tena point ni mpaka mwaka mwingine mwezi kama huu.
Maneno ya kujifariji hayo
 
Reactions: Tui
Kwa wazungu wakiona hii clip wanaweza kudhani huyu kibopa ana mwaga petrol kadhamiria kuchoma uwanja.

Your browser is not able to display this video.

Huku kwetu ndio tunaelewa kilichokuwa kinafanyika.

Mwamba anaipambania timu yake naye alikuwa anataka kuwa sehemu ya ushindi wa leo ila ndio hivyo.

Ila ndio hivyo isivyo bahati matokeo yamekuja ndivyo sivyo na lawama badala ya kwenda kwa mganga aliyewadanganya eti wanampa refa.
 
Hapana, kufa yanga haiwezi kufa....ndio maana tunaenda kuchukua Ubingwa kama kawaida...hizi ni vichangamoto vidogo vya watoto katika soka...

YANGA BINGWA
Maandishi haya si mageni jijini....labda kwa mgeni jijini, ila kwa wenyeji wa Jiji ni maandishi tuliyoyazoea😄
 
Hii Yanga kuifunga inabidi wawe Pungufu tu, tofauti na Hapo ni kichapo tu
 
Gooooooal ni Mpumerelo ana level score board hapa dakika ya 99
 
Reactions: Tui
Simba wanashangilia kuliko Azam, ndio ujue Simba timu dhaifu ilivyo
 
Hii Yanga kuifunga inabidi wawe Pungufu tu, tofauti na Hapo ni kichapo tu
 
Sawa kaka ndio mpira sijakataa kuna kufunga,kufungwa ama kusare.
Hata Arsenal amefungwa na timu mbovu new castle kwa kumuotea kigoli kimoja.
Ila hao Azam si tutarudiana nao!?
Ndio nitakwambia kwanini nilisema leo wameshinda kwa 'Mungu kapenda'.
Palestina kabigwa arsenal kapigwa , yanga kapigwa mkuu bora ujinyonge tu😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…