FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Basi hongera ila aliyepigwa bado ni bingwa wa msimu huu ,licha ya simba kushangilia kama ndio washindi wa mechi ya leo,furaha kama zote.Hongereni.
Adui yako muombee mambo mabaya.
Yanga ikifikwa na mabaya furaha huwa ipo Msimbazi.
Na Yanga huwa hivyo pia
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Palestina kabigwa arsenal kapigwa , yanga kapigwa mkuu bora ujinyonge tu😅😅😅
Hata siezi jinyonga.
Huwezi ukawa na furaha siku zote banaa.
Maisha yana pande mbili japo daah wamenichania mkeka Guardiola,Arteta na Gamondi.
 
Hata kwa mfano haiwezekani
𝗪𝗮𝘂𝘇𝗮 𝗺𝗶𝗸𝗮𝘁𝗲, 𝗷𝘂𝗶𝗰𝗲, 𝗺𝗮𝗮𝗻𝗱𝗮𝘇𝗶, 𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗿𝗲𝗮𝗺 𝘁𝘂𝗺𝗲𝗳𝘂𝗿𝗮𝗵𝗶 🥳🥳🥳🥳
 
Maandishi haya si mageni jijini....labda kwa mgeni jijini, ila kwa wenyeji wa Jiji ni maandishi tuliyoyazoea😄
Kuzoea yamezoeleka kwasababu ndio Uhalisia

Yanga ndio Bingwa hapa nchini, hili kuanzi Makolo mpaka Ihefu mnajua
 
Tujifanyishe leo sio siku wazee, mnaonaje...

Maana ninavyojua Yanga haifungiki kabisa...

Hii siku ya leo tujifanyishe hatuitambui, na kimsingi mechi haijachezwa
 
Back
Top Bottom