FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Maandishi haya si mageni jijini....labda kwa mgeni jijini, ila kwa wenyeji wa Jiji ni maandishi tuliyoyazoea😄
Kuzoea yamezoeleka kwasababu ndio Uhalisia

Yanga ndio Bingwa hapa nchini, hili kuanzi Makolo mpaka Ihefu mnajua
 
Sema mentality ya wapinzani wengi ni kuwa yanga haiwezi fungwa kumbe inafungwa, na bado itaweza fungwa na timu nyingine..ila bado mechi wali hold vizuri licha ya kuwa pungufu azam wemyewe wanajua..kosa liliwagharimu and that's football. Na matokeo haya sometimes ni mazuri kwakuwa yanabalance ligi pia yanasaidia timu husika kuwa na strategies mpya kuelekea mechi zijazo sio kama ilivyozoeleka kuwa yanga ni kushinda tu..
 
Kuna Mbumbumbu moja nilikaa nayo muda wote inapiga kelele hawajazoea kufungwa hao. Ukimuuliza nyie mmezoea anajibu utajua wewe.

Hii wanaweza wakaongeza kwenye mafanikio ya msimu pamoja na kile kibegi.
 
Back
Top Bottom