Leo mageti waliachiwa wao wawange mchana kweupe.Dawa ilishatayarishwa uwanjani.Wazee wa kuruka mageti, leo veepeee😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mageti waliachiwa wao wawange mchana kweupe.Dawa ilishatayarishwa uwanjani.Wazee wa kuruka mageti, leo veepeee😂😂
Kwani.yeye ni baharia au mvuvi ngalawa yake haitosafiri ?ALikuwepo sema upepo wa ligi kuu akitokea Jangwani umemkataa
Bakhresa kesho Jumapili anawaalika wananchi wote wakanywe supu chamazi.
Anamwaga chapati, mandazi na mikate.'Thupu' na Chapati mbili......!
Kufungwa ni sehemu ya mchezo, yaani wewe ulitegemea Yanga acheze mechi zote bila kufungwa?Tupunguze kujifariji kwa maneno mengi, Yanga Leo amepigwa na Azam.
Feitoto hajapata goli?'Thupu' na Chapati mbili......!
Si mlisema utopolo anaweza kucheza hata na real madridKufungwa ni sehemu ya mchezo, yaani wewe ulitegemea Yanga acheze mechi zote bila kufungwa?
Kufungwa kwa Yanga hakuondoi yeye ku twaa taji la 31.
Timu zinashindana ili kutwaa Mataji.

Adui muombee njaaacheni kujipa umuhimu kwenye team za wengine..
Na hii ndo maana halisi ya utopwinyoTamko lilitolewa mapema
View attachment 3141811
Mmeanza kupata akili.Bado hamjasema mtasema tu.Kufungwa ni sehemu ya mchezo, yaani wewe ulitegemea Yanga acheze mechi zote bila kufungwa?
Kufungwa kwa Yanga hakuondoi yeye ku twaa taji la 31.
Timu zinashindana ili kutwaa Mataji.
Utoto mwingi na ushamba unamsumbua dogo na kukosa Ustaarabu.Tamko lilitolewa mapema
View attachment 3141811
Ndugu mbumbumbu kucheza na Madrid isikushangaze ni jambo la kawaida katika soka inategemea mna cheza katika Hali Gani maana tuko ma bara tofauti.Si mlisema utopolo anaweza kucheza hata na real madrid
Na hii ndo maana halisi ya utopwinyo
Utoto mwingi na ushamba unamsumbua dogo na kukosa Ustaarabu.
These people are stupid.