Najua unaropoka hauongei.Kama ni hivyo, hata Simba ilifungwa na timu mbovu yanga kagoli kamoja tena kwa walishinda kwa 'Kayoko kupenda'.
Katizame statistics za mechi ya Simba na Yanga.
Yanga imeunda nafasi nyingi kuliko Simba,utaiitaje Yanga timu mbovu mbele ya Simba!?
We fala nini?
Msingecheza rafu basi isingepigwa faulo iliyozalisha goli.
Tathmini game hizo mbili kama zinafanana.