jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Halafu wanapenda kulialia sana! Hawana nidhamu na wana dharau sana.Wana timu basi?kikundi cha wahuni wanapiga tu mabuti,leo walipata kizunguzungu wale wazee,mpira ukipigwa mtu anaona inakuja miwili anakaba hewa mpira halisi unapita
Mfano yule Aucho na Boka na Aziz Ki. Wanahisi refa hawezi kuwafanya chochote. Wanajihisi wako juu kuliko uhalisia.