FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Pigaaaa hao mbwa koko....huku mtaani ni shangwee...
Wana timu basi?kikundi cha wahuni wanapiga tu mabuti,leo walipata kizunguzungu wale wazee,mpira ukipigwa mtu anaona inakuja miwili anakaba hewa mpira halisi unapita
 
"kama tusingekuwa pungufu tusingefungwa"

Kwani mlikuja watu uwanjani?
 
Tupunguze kujifariji kwa maneno mengi, Yanga Leo amepigwa na Azam.
Mahaba hata mtangazaji alikuwa nayo. Sasa sijui hajui mpira au?

Anasema eti Boka ndo alikuwa wa mwisho na angeweza kumzuia mchezaji aliyefanyiwa foul na Bacca kabla hajafunga.😀

Na wakati baada tu ya foul, mpira ukamkuta Diarra.
 
Back
Top Bottom