princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Kwani kavaa jezi ya yanga mkuu?Kwa wazungu wakiona hii clip wanaweza kudhani huyu kibopa ana mwaga petrol kadhamiria kuchoma uwanja.
View attachment 3141703
Huku kwetu ndio tunaelewa kilichokuwa kinafanyika.
Mwamba anaipambania timu yake naye alikuwa anataka kuwa sehemu ya ushindi wa leo ila ndio hivyo.
Ila ndio hivyo isivyo bahati matokeo yamekuja ndivyo sivyo na lawama badala ya kwenda kwa mganga aliyewadanganya eti wanampa refa.