FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Azam hawaeleweki wanacheza kwenye malengo gani

Kushambulia ni zero, ku defense nako ni zero

Halafu ukicheki eti wao ndio wametimia dhidi ya walio pungufu
 
Dakika ya 75 mpira umesimama baada ya golikipa wa Azam kulala chini kufuatia rafu aliyochezewa na Mwamnyeto.

Wakati huo kuna sub kadhaa zimefanyika

Kwa upande wa Yanga ametoka Azizi Ki na kuingia Pacome.
 
Screenshot_20241102_193314_X.jpg
 
Dakika ya 75 mpira umesimama baada ya golikipa wa Azam kulala chini kufuatia rafu aliyochezewa na Mwamnyeto.

Wakati huo kuna sub kadhaa zimefanyika

Kwa upande wa Yanga ametoka Azizi Ki na kuingia Pacome.

Huku Azam Silah akienda nje.
 
Ila Aziz ki ameshuka sana kiwango bora angeenda zake uarabuni wakati ule yupo na kiwango chake.
 
Dk ya 78 , Dk zilizobakia game iishe ni 12 tu mpaka muda huu. Na sisi Azam tumetawala huu Uzi na Uwanjani pia
 
Back
Top Bottom