FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Dickson Job kachukua kadi ya njano kutokana na kumfokea Arajiga
 
Azam FC Kwa namna wanavyocheza, timu ya Yanga isingekuwa pungufu wangefungwa nyingi

Bado sijaelewa hasa Timu ya Azam ina shida gani, they have everything in place 🙌

Dakika 70 Azam 1 Yanga 0
wameingia pungufu
 
Dakika ya 80

Diarra anachukua kadi ya njano kwa kosa la kumshunikiza mwamuzi baada ya refa kusimamaisha mchezo kufuatia mchezaji wa Azam kuanguka chini
 
Wachezaji wa Yanga wanamzonga refa ili apaniki lakiki Arajiga anasimama imara
 
Back
Top Bottom