FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Yes tunapata freekick hapa eneo sio baya kwa mpigaji mzuri
 
1730566038433.png
 
Azam wanajua yanga ni SIMBAAA 😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
sijawahi kumkubali kibabage, labda mimi sijui mpira. lakini kwa sababu ni kijana anatafuta maisha, wacha tu waendelee kumbeba aishi mjini.
 
Back
Top Bottom