Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kujifananisha na City nyie kenge wa kijani🤣🤣🤣Mbona City imefungwa mzee, naomba niache..!!
Yaaani Yanga leo ni kama umechemsha kande halafu gas ikaisha wakati kande bado mbichiiii... Hapo amua utafune au umwage..🤣🤣🤣
Basi hongera ila aliyepigwa bado ni bingwa wa msimu huu ,licha ya simba kushangilia kama ndio washindi wa mechi ya leo,furaha kama zote.Hongereni.Angalia ubao first half.
Yaaani Yanga leo ni kama umechemsha kande halafu gas ikaisha wakati kande bado mbichiiii... Hapo amua utafune au umwage..🤣🤣🤣
Hizi 5 wanapigwa vitimu vidogo kama Simba (Kolo)Hahahahaa😂
View attachment 3141671
Ndiyo naona ni kiasi gani tulikuwa tunawapa stress, wafunge Azam sherehe mfanye nyie,Acheni kujifananisha na City nyie kenge wa kijani🤣🤣🤣
Kwa hisani ya refa na wasaidiziLigi imeanza upyaaa
Yanga na city kwa performance hawana tofauti.Acheni kujifananisha na City nyie kenge wa kijani🤣🤣🤣
Nyie ni panya buku tu ilikua suala la mda🤗🤗🤗Ndiyo naona ni kiasi gani tulikuwa tunawapa stress, wafunge Azam sherehe mfanye nyie,
Yaaani Yanga leo ni kama umechemsha kande halafu gas ikaisha wakati kande bado mbichiiii... Hapo amua utafune au umwage..🤣🤣🤣Hizi 5 wanapigwa vitimu vidogo kama Simba (Kolo)
Leo hawajawa na faida upande wenu kwakuaKwa hisani ya refa na wasaidizi
Leo hawajawa na faida upande wenu kwakuaKwa hisani ya refa na wasaidizi
Tubaki na faraja tu sasa![]()
Mkuu baki mashariki ya kati tu , huku haupamudu😅😅Yanga na city kwa performance hawana tofauti.
Simba wameshinda mechiiiLeo hawajawa na faida upande wenu kwakua