FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Mkuu baki mashariki ya kati tu , huku haupamudu😅😅
😀😀😀😀Aaah au siyo!??
Napamudu vizuri sana kaka.
Mie mwanakandanda safi sana.
Game ya leo kwa sajili ya Azam na kwa kikosi chake alitakiwa ashinde ushindi mnono,inavyoonekana ameshinda ile 'Mungu kapenda'.
Licha ya Yanga kufungwa ila imeonesha ukubwa wa Yanga.
 
Ili Yanga ipoteze mechi kwanza wawe pungufu na mpinzani awe ana paki basi uku akijiangusha muda wote wa mchezo Sasa kwanini tusiseme Yanga Bingwa.
Mpaka Yanga kuja Tena kudondosha Tena point ni mpaka mwaka mwingine mwezi kama huu.
 
Endelea kuota chunga usijinyee.Mpira hauna guarantee. Zinafungwa timu za maana itakuwa huu mchanganyiko wa,wachezaji?
 
😀😀😀😀Aaah au siyo!??
Napamudu vizuri sana kaka.
Mie mwanakandanda safi sana.
Game ya leo kwa sajili ya Azam na kwa kikosi chake alitakiwa ashinde ushindi mnono,inavyoonekana ameshinda ile 'Mungu kapenda'.
Licha ya Yanga kufungwa ila imeonesha ukubwa wa Yanga.
Hakuna cha Mungu wala nini , ipo wazi kama ya mbuzi kwamba mmekandwa😅😅😅
 
Ili Yanga ipoteze mechi kwanza wawe pungufu na mpinzani awe ana paki basi uku akijiangusha muda wote wa mchezo Sasa kwanini tusiseme Yanga Bingwa.
Mpaka Yanga kuja Tena kudondosha Tena point ni mpaka mwaka mwingine mwezi kama huu.
Ndio hata mimi nashangaa aisee.
Kwa jinsi Azam ilivyo nilitarajia ingeipasua Yanga goli za kushanta baada ya red card.
Pia licha ya hivyo Yanga ametengeneza nafasi nyingi tu ila ameshindwa kuzitumia.
 
Back
Top Bottom