FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Umesema ni mrembo nilitaka tuprove tuuh kama kweli yaliyomo yamo mkuu
Wewe jua tu mtoto ni mzuri halafu mimi sio fala inatoshaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni mechi ya mbinu Bora za makocha wote 2, Wamekutana wanaume wote hii ndio klabu bingwa sio shirikisho!
 
Ni mechi ya mbinu Bora za makocha wote 2, Wamekutana wanaume wote hii ndio klabu bingwa sio shirikisho!
 
Mpira anaocheza kibabage hajafika hata nusu ya farid Musa sijui wamempotezea wapi huyu dogo.
Dube atoke aingie musonda,toa Aziz K ingiza chama mbunga lipigwe lazima wafe mbili hawa wasudanist
 
Ila kocha mbinu zake sizielewiii,mbona wachezaji Hawana molali kama enzi za Msakoo wa Master G.
 
Ulimsikiliza ibenge?
Alikwambia hajui anaenda kucheza na mtu ghani hivyo ilikua ni lazima kipindi cha kwanza kitumike kusoma prep alafu sec half ndo nyie vyura muingie kupiga pepa
Subiri dhoruba kipindi kijacho
Usikimbie siti..
Sawa usikimbie Uzi tu
 
Azizi Ki nisingemuangalia kwenye mechi ya Tabora ningeweza kuwaza pengine hiki kiwango kimeletwa na stress za kuibiwa simu.

Ila now nimejiridhisha kuwa Azizi Ki ni yule yule wa jana, leo, kesho na hata milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…