mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Kuna clip nimeona kuna mganga anawadai mil 40😄😄😄Utopolo wasifanye sub, wabaki ivivi tuone vichekesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna clip nimeona kuna mganga anawadai mil 40😄😄😄Utopolo wasifanye sub, wabaki ivivi tuone vichekesho
Ngoja tuone 😅😅😅Yanga ya TANZANIA
Utopolo wanatapika uwanjan, ni kama wamekunywa mbege na ugali wamaarageKuna clip nimeona kuna mganga anawadai mil 40😄😄😄
Daah why jamani...Utopolo wanatapika uwanjan, ni kama wamekunywa mbege na ugali wamaarage
Kwanini mnakuwa na wivu na Yanga!!?Kuna clip nimeona kuna mganga anawadai mil 40😄😄😄
Utopolo wanatapika uwanjan, ni kama wamekunywa mbege na ugali wamaarage
Lishe duni, timu ikishinda , wanaenda kula supu za vibudu,Eti kuna mtu katapika? Ukute mi sindano imemzidi...
Ligi ya Mabingwq inachezwa kwa mbinu maana sio Shirikisho papatupapatu .Yanga inacheza kama Ken Gold
Huko kote tulikuwepo msijsahaulishe...Ligi ya Mabingwq inachezwa kwa mbinu maana sio Shirikisho papatupapatu .
Athari za sindano, usingizi, kutapika😂😂Utopolo wanatapika uwanjan, ni kama wamekunywa mbege na ugali wamaarage