Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Watakuja kunguru kuokata vipande vya kongoroSasa wakitapika uwanjani nani anapasafisha??
wagawane fito tuLishe duni, timu ikishinda , wanaenda kula supu za vibudu,
Ni shida sana , kumpa Taasisi MTU mjinga
Penda vya nyumban mtumishNgoja tuone 😅😅😅
kichekesho kipo kesho hawa wanapigwa 2Utopolo wasifanye sub, wabaki ivivi tuone vichekesho
Kumbe😂😂Eti kuna mtu katapika? Ukute mi sindano imemzidi...
mtu mjinga kachukua mara 3 mbele ya wajinga zaidi, mtu mjinga kafika nusu shirikishoLishe duni, timu ikishinda , wanaenda kula supu za vibudu,
Ni shida sana , kumpa Taasisi MTU mjinga