Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
hawa wanze kufungwa hapaJitahidini majirani...atleast mkienda kupigwa huko kwao sio mbaya...
Mnaanza midomo eee...mtu mjinga kachukua mara 3 mbele ya wajinga zaidi, mtu mjinga kafika nusu shirikisho
Vilivyo bora navyo huzidiwa uboraππ»ππ
Huu hapa sasa, umeona?????Unaangalia mpira gani?