FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Hivi hawa uto why wlimfukuza Gamond? Yani mnatimua kocha kabla ya mechi nzito kama hii
Kweli mmelogwa
Yan nimetaman kuwatukana hawa Yanga tusi zito!!!!!! Ila bas tu acha ..Gamond alipaswabkuachwa mpaka meli inazama kabisaa tunatolewa Caf ndio wamtimue..ona sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…