Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Bado kidogo watamtoa refaYanga hawajui hata wamtoe nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kidogo watamtoa refaYanga hawajui hata wamtoe nani
AhahahahDaima nyuma mbele mwiko
Dah..... No rest for the wicked🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal
📆 26.11.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 10:00 Jioni
View attachment 3161611
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal
View attachment 3162189
View attachment 3162190
Dakika ya 5
Mpira Umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi
Dakika 25
Yanga wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 29
Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa kwenye boxi
Dakika ya 34
Al hilal wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 40
Mudathir anafanyiwa madhambi
Dakika ya 45+1
HT: Yanga SC 0-0 Al Hilal
View attachment 3162203
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 48
Aziz k anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 50
Yanga sC wanapata Kona
Dakika ya 51
Aziz k amekosa hapa
Dakika ya 53
Max anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 55
Aziz k anakosa nafasi ya wazi hapa
Dakika ya 57
Yanga sc wanapata kona
Dakika ya 60
YNG 0-0 HIL
Dakika ya 63
Al hilal wanapata goli
Dakika ya 65
Bacca anakosa nafasi ya wazi
Mabadiliko
Anatako maxi anaingia musonda
Halaf wewe bhana...kwahiyo ndio atapike🤣Eti kuna mtu katapika? Ukute mi sindano imemzidi...
Siasa za mpira za hovyo sana, badala ya kumtoa dube, unatoa maxMax anatoka anaingia Chama
Unatoa mlango unaweka pazia
Ahahhaha eee unajua ukioverdose kitu...Halaf wewe bhana...kwahiyo ndio atapike🤣
Yanga ni timu kubwa Tanganyika na Zanzibar. Huku kwingine bado inajitafuta.Shangaaa...
Kwel kocha fala...Max anatoka anaingia Chama
Unatoa mlango unaweka pazia
Nani huyo? Hatupo kideoniSasa uyu jamaa anamuangalia Max ivo kwan wanaugomvi 🤣
Moderator dili hili hapaYanga afrika inafirwaje jeee ...inafirwaje....ooh samahani inafungwajeee
Ndo kupoteana uko an nasikitika sanaSiasa za mpira za hovyo sana, badala ya kumtoa dube, unatoa max
Chama ni mkubwaMax anatoka anaingia Chama
Unatoa mlango unaweka pazia