Labda Hizo timu zingine ziniharibieKweli uoga ni umasikini walahi.. ππππ.
Nasikia makelele huko banda umizaKocha huyu hatufai
Heee sisi hayatuhusu wao walitusema kila muda page ya yule kamwe ilijaa simba...ngoja wapitie magumu na wao...shubaaaaamit...aiseee hatakama sisi ni wapinzani ila hiii sio yanga tunayoijua hiii hata ile furaha ya yanga kupoteza haipo ipo kutokuelewa ni nini kinachoendelea na yanga yapo mengi ambayo hatuyajui
Safi nini?Saaafi
Azam na Tabora zilimfukuza kocha, hata hawakufikiria wapo katikati ya champions league. Huyu Hersi nae wale wale tu!!
La nini?Bado 1