Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 We Uliogopa Mimi Niliweka Sina Masihala 🤣🤣🤣🤣🤣
Ile ni 5 sio 1Dakika 81'
Young Africans 0 -1 Al Hilal Omdurman
Yanga ishatepeta majanga mfululizo wachezaji golini kule hawafungi wala nini sijui wameambiwa wasifungekwani kocha kawaambia wachezaji wasifunge?
Cheka tena kaa uchiIla nacheka huku naogopaa jamani..uwiii
Atume live location tuanze kusogeaJane Lowassa tafadhali timiza ahadi Yako
Muambie aaze kuandaa styles za photogenic,Kwani wamefunga? Alisema uto wakifunga ndo atakaa uchi...
Yanga hajawai mfunga Al HilalAl Hilal mbona wakawaida sana aiseeee!?
Yanga ilikua inawafunga hawa Sasa sijajua shida ni nini!
Au kocha ndio anaiona hii mechi kama mechi ya matazamio ya kikosi!??
Unacheka nini hapo?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dakika ya ngapi ngapi ngapi?Muambie aaze kuandaa styles za photogenic,
ni jambo jema kabisaDakika 84'
Young Africans 0-1 Al Hilal Omdurman