SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mobeto mnamuonea bure mshenga ni Haji Manara huyu ndiye wa kumuwajibisha kwani hata kuvuta shisha ndiye amemfundisha Aziz Ki.Mobeto asakwe Popote alipo..!
Ametukwaza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mobeto mnamuonea bure mshenga ni Haji Manara huyu ndiye wa kumuwajibisha kwani hata kuvuta shisha ndiye amemfundisha Aziz Ki.Mobeto asakwe Popote alipo..!
Ametukwaza sana.
what wonderful day...Mechi ya tatu mfululizo.
Mkuu sasa ni wakati wako wa kutangaza ban wazi wazi bila kujificha😂😂😂😂😂😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😂😂😅😂😂😅😅😂😂😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂
La wazi kabisa.Nasikia tumekoswa la pili😅
Kwani wamefunga? Alisema uto wakifunga ndo atakaa uchi...Jane Lowassa tafadhali timiza ahadi Yako
Bongo tunaamini mazingaombwe kwenye pitch na game"Tutafungua milango iliyofungwa"
Shensiiiii.
Kauli mbiu tu imekaakishirikina....
kwani kocha kawaambia wachezaji wasifunge?Al Hilal mbona wakawaida sana aiseeee!?
Yanga ilikua inawafunga hawa Sasa sijajua shida ni nini!
Au kocha ndio anaiona hii mechi kama mechi ya matazamio ya kikosi!??
Emu akae uchi Yanga ifunge basiKwani wamefunga? Alisema uto wakifunga ndo atakaa uchi...
Azam na Tabora zilimfukuza kocha, hata hawakufikiria wapo katikati ya champions league. Huyu Hersi nae wale wale tu!!Mecho mbili au tatu??