FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Ohoo mnafungwaje mechi 3 mfululu ndo kama hivi yani...tena bora sisi tulikua na ka spaaaaace...ila nyie ni majeraha yanatibuliwa tuu kila siku...donda linatiwa ndimu bado bichiii...uwiii
 
Wasiwasi wangu tu, yawezekana huu mkeka ningekula Leo 😋😋😋😋

Screenshot_20241126_135917_Chrome.png
 
😂😂😂😂😂😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😂😂😅😂😂😅😅😂😂😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu sasa ni wakati wako wa kutangaza ban wazi wazi bila kujificha
 
Al Hilal mbona wakawaida sana aiseeee!?
Yanga ilikua inawafunga hawa Sasa sijajua shida ni nini!
Au kocha ndio anaiona hii mechi kama mechi ya matazamio ya kikosi!??
kwani kocha kawaambia wachezaji wasifunge?
 
Ila hawa wasnge wanadharau sana

Mechi yetu ya kirafiki tuliocheza nao walimia na haikuwa na chochote wanacho gain.

Kuna muda walianza hadi kulala kupoteza muda mpaka nikajiuliza hawa majamaa hivi wanajua kuwa hii ni friendly match??

Angalia kinachotokea leo

Wakati wengi wakitazamia kuona Al Hilal anarudi nyuma na kuzuia kwasababu tayari amepata bao la kuongoza lakini bado vijana wanashambulia.

Wakati wengine tukiwaza pengine baada ya Al Hilal kupata bao la kuongoza tulitegemea kuona wakipoteza muda kwa kujilaza lakini hali imekuwa tofauti.

Jamaa wanapata nafasi ya wazi kufunga bao la pili lakini wanarudisha mpira nyuma.

Hizi ni dharau.
 
Back
Top Bottom