Kwa niaba ya Shunie nazipokeaPoleni sana Yanga.
Kwani wamemfanya nini?Nimeamini wanawake ni viumbe hatari sana.
Aziz ki ndo kawa hivi?!π
leka tupu mleu!Third time
Eeeh mkuu,Ule wa 'mwasibu'?ππ
Mna uhakika yule ni kocha?Kocha kachanganyikiwaβ¦
Hadi washabiki tulikataa sub ya pacome hamna kocha aisee
Nani kakuomba ???? ππππππAnyway; tunawatakiwa Simba ushindi mwema.
leo atakuwa ally kamwe huyo modeHuyu Mod ana kiherehere.
Simba ikifungwaga, within a second anabadili ubao.
Leo sijui kajinyea?????
Haiye mnu nyoo mryinga ufoileka tupu mleu!
Kuwa na heshma kidogoYanga ikipigwa huwa nasikia raha kama nakojoa wazunguuuuuuuu
Leo mwendo wa viwiliWakaweka kweli ππππ
kumbe na wewe ni utopolo π€Tokea afike Yanga hajafanya vizuri kama ilivyokuwa inategemewa, atakuwa ana stress hivyo ifike wakati aanzie bench awe supersub, huenda akafanya vizuri.
kwasababu wanakikosi kipanaYanga hawajui hata wamtoe nani
9 Decemba hakanyagiRAMOVIC HAFIKI KRISMASI
Pira Germany π€£π€£π€£Kocha kutoka Germany, wakati ni Turkey by dual citizenship