FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Tokea afike Yanga hajafanya vizuri kama ilivyokuwa inategemewa, atakuwa ana stress hivyo ifike wakati aanzie bench awe supersub, huenda akafanya vizuri.
Kwani we unavyodhani hii lineup ya leo ilikuwa ni ya kocha??

Hata uchezaji tu wa leo sijaona utofauti wowote wa limbinu za kiufundi kutofautisha na ule mfumo wa Gamondi.

Kwasababu mechi mpaka kuelekea mwishoni mwa kipindi cha kwanza tayari Dube alikuwa anahitaji replacement.

Lakini kocha alilazimika kumuacha kwasababu lilikuwa ni pendekezo la mabosi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…