DuhHakuna cha pole wala nini!Bado hawajakutana na malaika wa kuwafunga.Bloody-churaz!
π π π πNani tena kapunguza mwanga wa jua pale taifa dube ameshindwa kufunga.
Tunahujumiwa sana, tunahamia uwanja wa nyamagana mechi zetu za kimataifa.
Najua pole mtani. Ila ww huna baya upo realisticNimesikitishwa sana na kipigo cha leo
[emoji25]
Daah! Huku ni kupatwa Mtani hakika Yanga tumepatwa this time. LolHalafu Shadeeya sio vizur kujifungia mwenyewe kufaidi mpira.
Nawatakia yanayostahili kuwapata yawapate kulingana na uwezo wa timu yenu. Ikiwa ni kufungwa haya, ikiwa ni ushindi haya. Ili mradi mnastahiliπ€£ππ
Yaani Mzab nacheka kama mazuri na mi tag yako. π π Hii sio poa kabisa Mzab Wananchi tumejua kuteseka bana.
Mdogo wangu una hali gani huko? πMisso Missondo una hatari, nitakupa daaada..!!ππ
Ngoja nimwambie dj akuwekee ule wimbo yatapita bila kwichi kwichi π€£π€£π€£Yaani Mzab nacheka kama mazuri na mi tag yako. π π Hii sio poa kabisa Mzab Wananchi tumejua kuteseka bana.
All in all yatapita tu na haya. Lol.
Hahahaaa. LolNgoja nimwambie dj akuwekee ule wimbo yatapita bila kwichi kwichi π€£π€£π€£
Hii ifike Jangwani πππBREAKING NEWS | Hatimae TS Galaxy ya Afrika Kusini imeshinda mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Afrika Kusini baada ya michezo yote sita chini ya German Machine, Saed Ramovic kupigwa nne na sare michezo miwili.
Leo chini ya Kocha mpya Adnan Beganovic wameshinda 3-1 dhidi ya Shekhukune ambayo ipo nafasi ya sita kwenye PSL, hii pia ni mara ya kwanza kushinda ugenini na kuvuka mabao mawili.
Wewe nuksi kweliYanga akishinda navua nguo
hapakuchi hapakuchi lakini ndiyo panakucha dada Shaddie..!ππMdogo wangu una hali gani huko? π
Mabangi umefuraaahiiπTupo live , vipi unateseka ukiwa wapi ?