Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah. Wanawake mnajua kututesa kweli.Yanga akishinda navua nguo
Mi nimemwahidi ntakuwepo, ikibidi tuvue wote🤣Dah. Wanawake mnajua kututesa kweli.
Hahaha kuna mtu ameahidi kuvua nguo mkuuHivi leo hakuna aliyeahidi Yanga ikifungwa au kushinda apigwe ban?
WanakujaaaHivi leo hakuna aliyeahidi Yanga ikifungwa au kushinda apigwe ban?
Akikubali usilete hata mrejesho mkuu maana wivu.Mi nimemwahidi ntakuwepo, ikibidi tuvue wote🤣
TayariOya mbona huleti na kutoa update mzee shida nini
Kuna mchongo nausikilizia bro😅Hivi leo hakuna aliyeahidi Yanga ikifungwa au kushinda apigwe ban?
Unatoa mrejesho au unahadithia Utopolo anavyoshambulia kwa kasi ya konaHilal wanaokoa kona ya pili hapa
😀😀😀😀
😀😀😀Hivi leo hakuna aliyeahidi Yanga ikifungwa au kushinda apigwe ban?
WamekoswaMbona nasikia makelele ?