FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Maxi asipokuwa na mpira huoni hatari yoyote ya Yanga kuelekea langoni mwa Al Hilal

Maana yake Aziz Ki na Pacome wanahitaji kuongeza juhudi zaidi
 
Aliyemloga Dube Mungu anamuona Kwa kweli
1000016436.jpg
 
Yanga hamna kitu hapa, tuambiane tu ukwel, angalau angekuepo Gamond, tungejipa moyo kuwa baada ya kipind cha pili watu watarud na mbinu mpya.

Ila huyu bwana, sisi tunaangakia mpira na kocha naye anaangalia mpira kutafuta kikosi, kuna nin tena hapa??
 
Back
Top Bottom