FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Yanga wasipoangalia kwa kiwango hiki, hawafiki mbali, performance iko so low
 
Al -hilal omduman wamesha isoma yanga sasa kinachofata ni mwendo wakuwapelekea wanachostahili
Ibenge nimemwelewa si mchezo
Tusubiri kipindi cha pili
Half time
Young Africans 0-AL Hilal 0
 
Mamaee huyu Kibabage sijui alikuaje akasajiliwa Yanga mbaka Leo siamini kabisa tuliuacha David Bryson tukamsajili huyu dogo... Hasara
 
Al -hilal omduman wamesha isoma yanga sasa kinachofata ni mwendo wakuwapelekea wanachostahili
Ibenge nimemwelewa si mchezo
Tusubiri kipindi cha pili
Half time
Young Africans 0-AL Hilal 0
Yanga kipindi cha pili ni habari nyingine...
 
Back
Top Bottom