Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Wamechoka na nini wakati hata ligi hawajachezaWachezaji wamechoka.. hakuna cha Gamondi hapo...
Magoli waliyokosa leo Gamondi ndo angefunga...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamechoka na nini wakati hata ligi hawajachezaWachezaji wamechoka.. hakuna cha Gamondi hapo...
Magoli waliyokosa leo Gamondi ndo angefunga...
Vishuti Mobeto fala sana[emoji1787][emoji1787]Aziz Ki na vishuti vya Mobeto anakuwa Kiaz tu
We jamaa kumbe huwa unacommentigi humuMpumelelo leo kajitahidi, bahati haikuwa upande wake.
Acha tu master!!Unanisingizia bure, sina timu.
Shusha nyuzi za Kihasibu mkuu tupate uchambuzi yakinifu.Nilikuhakikishia mkuu
Mhasibu wetu wewe ni genius mno😂😂🤔Nilikuhakikishia mkuu
Aanze kupita uchi tumuone uchi wakeJane Lowassa picha zako za utupu tafadhali
Dakika zote 90 timu haieleweki ilikuwa na mpango gani, haikabi wala kushambulia.Wachezaji wamechoka.. hakuna cha Gamondi hapo...
Magoli waliyokosa leo Gamondi ndo angefunga...
Upo kama Mimi kabisaAlhilal timu yangu ya utotoni.
Sijielewi yani beshte...naona ninywe tuu ka wine na ka kitimoto hapa nipooze moyoTumeumia vibaya mno Beshte🤣
Ila mna timu mbovu.Hata kama tumefungwa ila tuna jezi nzuri.
Mkuu sasa hivi ule uzi wako wa Azizi Ki hauchangiwii kbs nini kimetokea Aposto au umeumwagia maji ya upako hawauoni?Nilikuhakikishia mkuu